Wananchi
wilayani mbulu wametakiwa kuacha mila potofu ya ukeketaji kwani zinaleta
madhara kutokana na vitendo hivyo .
Hayo
yamebainiswa na mkuu wa wilaya ya mbulu Bw. Chelestino Simbalimile Mofuga amesema vitendo hivyo vinafanyika kwa usiri na amewataka wananchi
waache mila hizo potofu.
Kwa
upande wao viongozi wa dini wamesema majukwaa ya ibada yana nafasi kubwa kama yalivyo majukwaa mengine katika
kupambana na ukeketaji.
Mkuu
wa wilaya ametoa rai kwa viongozi wa dini kukemea maovu ili jamii iweze kubadilika.
= = = = == = =
No comments:
Post a Comment